Category: Kitaifa
Mabilioni kuboresha miundombinu Ziwa Victoria
Serikali imewekeza zaidi ya Sh bilioni 300 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya usafiri ndani ya Ziwa Victoria, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas, amebainisha. Kati ya fedha hizo, Sh bilioni 150 zinatumika kwa ajili ya ujenzi wa meli…
Makonda aungwa mkono
Taasisi na watu binafsi wameendelea kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuwasaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa moyo. Wiki iliyopita Ubalozi wa nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ulitoa Sh milioni 27…
Waliopigana Vita Kuu ya Pili walia ugumu wa maisha
Chama cha Wazee Waliopigana Vita Kuu ya Pili ya Dunia wameziomba asasi za kiraia kuwasaidia katika mapambano ya kudai haki zao ambazo wangependa wazipate kabla hawajapoteza maisha. Akizungumza na JAMHURI, Katibu Mkuu wa chama hicho, Steven Chacha, amesema wakijitokeza wadau…
Kampuni za simu zawekeza Sh trilioni 6 nchini
Uwekezaji wa kampuni zinazotoa huduma za simu za mikononi umefikia Sh trilioni 6 ambazo zimekuwa na tija kubwa kwa taifa na kuifanya sekta ya mawasiliano kuwa miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi kubwa hapa nchini. Wakati uchumi ukikua kwa asilimia…
Nchi ilivyopigwa
Wizara ya Madini imetoa takwimu za mapato ya madini zinazoonyesha nchi ilivyoibiwa kwa miongo mingi. Waziri wa Madini, Doto Biteko, amesema wakati Serikali ya Awamu ya Tano inaingia madarakani miaka minne iliyopita, mapato yaliyotokana na mauzo ya madini yalikuwa Sh…
Dk. Shein: Tutaendelea kushirikiana na China
Zanzibar imeihakikishia China kwamba itaendelea kuthamini uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya nchi hizo mbili pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC). Hayo yamesemwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, wakati alipofanya mazungumzo na Naibu Waziri wa…