Category: Kitaifa
Agizo la Magufuli laacha kilio
Agizo la Rais John Magufuli kwa taasisi za serikali na mashirika ya umma kuhamisha ofisi zao kutoka kwenye majengo binafsi kwenda majengo ya serikali limewaacha baadhi ya wamiliki wa majengo katika maumivu baada ya taasisi hizo kuhama. Wakala wa Barabara…
Wafanyakazi wa Bora bado watanga na njia
Waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza viatu cha Bora ambao waliachishwa kazi mwaka 1991, wameibuka na madai ya kiasi cha Sh bilioni 45. Wafanyakazi hao wanaitaka serikali iwalipe kiasi hicho cha fedha ambacho kinajumuisha pia malipo ya muda wa kusubiria…
Wanawake wajasiriamali kunolewa Dar
Kongamano kubwa litakalowawezesha wanawake kuunda mtandao wa wajasiriamali kutoka maeneo yote nchini litafanyika mapema mwezi ujao. Waandaaji wa kongamano hilo, Open Kitchen chini ya asasi ya Amka Twende, wameeleza kuwa zaidi ya wajasiriamali 300 wanawake kutoka vikundi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki…
Kiingereza chapigiwa debe
Imeelezwa kuwa msingi mzuri wa lugha ya Kiingereza kwa watoto wanaosoma shule za awali zinazotumia lugha hiyo ni moja ya sababu za wanafunzi wengi wanaotoka katika shule hizo kufanya vema zaidi kitaaluma kwenye madarasa ya juu. Wakizungumza mjini hapa, baadhi…
Serikali yaiangukia Benki ya Dunia
Serikali imeiomba Benki ya Dunia kusaidia rasilimali fedha ili kuwezesha utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na serikali. Ombi hilo limetolewa hivi karibuni jijini New York nchini Marekani na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipokutana na…
Miaka minne ya kazi
Aliposhika Biblia na kuapa kuwa Rais wa tano wa Tanzania Novemba, mwaka 2015, Dk. John Magufuli, aliahidi kuleta mabadiliko makubwa kiuchumi na kijamii. Aliahidi kuipeleka Tanzania kwenye kipato cha kati kupitia uchumi wa viwanda. Alipolihutubia Bunge baadaye mwaka huo, akajipa kazi…