JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wanaswa uhujumu uchumi

Kikosi Kazi maalumu kilichoundwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kimebaini ukwepaji kodi unaokisiwa kufikia Sh bilioni 10 katika kampuni sita za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazojihusisha na sekta ya utalii nchini, JAMHURI linathibitisha. Kwa tuhuma hizo, wakurugenzi wa kampuni hiyo wanakabiliwa…

Agizo la Magufuli laacha kilio

Agizo la Rais John Magufuli kwa taasisi za serikali na mashirika ya umma kuhamisha ofisi zao kutoka kwenye majengo binafsi kwenda majengo ya serikali limewaacha baadhi ya wamiliki wa majengo katika maumivu baada ya taasisi hizo kuhama. Wakala wa Barabara…

Wafanyakazi wa Bora bado watanga na njia

Waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza viatu cha Bora ambao waliachishwa kazi mwaka 1991, wameibuka na madai ya kiasi cha Sh bilioni 45.  Wafanyakazi hao wanaitaka serikali iwalipe kiasi hicho cha fedha ambacho kinajumuisha pia malipo ya muda wa kusubiria…

Wanawake wajasiriamali kunolewa Dar

Kongamano kubwa litakalowawezesha wanawake kuunda mtandao wa wajasiriamali kutoka maeneo yote nchini litafanyika mapema mwezi ujao. Waandaaji wa kongamano hilo, Open Kitchen chini ya asasi ya Amka Twende, wameeleza kuwa zaidi ya wajasiriamali 300 wanawake kutoka vikundi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki…

Kiingereza chapigiwa debe

Imeelezwa kuwa msingi mzuri wa lugha ya Kiingereza kwa watoto wanaosoma shule za awali zinazotumia lugha hiyo ni moja ya sababu za wanafunzi wengi wanaotoka katika shule hizo kufanya vema zaidi kitaaluma kwenye madarasa ya juu. Wakizungumza mjini hapa, baadhi…

Serikali yaiangukia Benki ya Dunia

Serikali imeiomba Benki ya Dunia kusaidia rasilimali fedha ili kuwezesha utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na serikali. Ombi hilo limetolewa hivi karibuni jijini New York nchini Marekani na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipokutana na…