JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Waandishi bado waipinga sheria inayowadhibiti

Wadau wa habari nchini wameendelea kuipinga sheria inayomtambua mwandishi wa habari kuwa mtu ambaye amepata elimu ya stashahada. Wakizungumza katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) hivi karibuni, wadau hao walidai kuwa pamoja na…

TIC yafafanua uwekezaji kupungua

Shughuli za uwekezaji duniani zimedorora kwa kiasi kikubwa miaka ya hivi karibuni na hii imetajwa kuwa sababu kubwa ya kupungua kwa mitaji binafsi kutoka nje (FDI), ambako kumejitokeza nchini tangu mwaka 2015, wataalamu wa sekta hii muhimu katika uchumi wa…

Mabalozi SADC waunda umoja Qatar

Mabalozi wa nchi za SADC walioko Qatar wameunda umoja unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimaendeleo na taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati ambalo ni moja kati ya wazalishaji wakubwa wa gesi asilia duniani. Ikiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya…

Bilionea Friedkin alipa

Kampuni za bilionea raia wa Marekani, Dan Friedkin, zilizonaswa kwenye kashfa ya ukwepaji kodi, zimeweka Sh bilioni 50 kwenye akaunti maalumu ya Serikali ya Tanzania. Habari za uhakika zinaonyesha kuwa pamoja na kulipa kiasi hicho, kuna fedha nyingine nyingi zilizoingizwa…

Shetani anapokuwa malaika na malaika kuwa shetani – (2)

Endelea na uchambuzi wa hukumu ya kunyongwa hadi kufa iliyotolewa kwa mwalimu mmoja mjini Bukoba baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mwanafunzi wake kwa kumchapa fimbo. Dereva hulaumiwa kwa mwendo kasi baada ya ajali kutokea na huenda angelaumiwa…

Serikali yatahadharishwa kuhusu gesi

Serikali imetahadharishwa kuwa kucheleweshwa kwa makubaliano na wawekezaji katika mradi wa kiwanda cha kuchakata gesi asilia (LNG) kunaweza kuiingiza nchi kwenye hasara ya kutonufaika ipasavyo na rasilimali ya gesi asilia. Hayo yamebainishwa na wataalamu wa masuala mbalimbali yanayohusiana na gesi…