JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Daktari bingwa aonya homa ya ini

DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Daktari bingwa wa magonjwa ya ini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Ewaldo Komba (pichani), amewataka Watanzania kujenga tabia ya kupima kama njia ya kuhakikisha kuwa haiwaathiri katika hatua za mwisho. Dk. Komba amesema ugonjwa…

Daraja lawatesa wakazi Mkuranga

MKURANGA NA AZIZA NANGWA Wakazi wa Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga wameiomba serikali kusaidia ujenzi wa daraja linalounganisha eneo lao na vijiji vingine ili waweze kushiriki kwenye shughuli za kiuchumi na kijamii kwa unafuu. Wamebainisha kuwa mvua zilizonyesha hivi karibuni…

Kipilimba katika mgogoro wa ardhi

Balozi Dk. Modestus Kipilimba yumo kwenye mgogoro wa ardhi na baadhi ya wakazi wa Msakuzi, Mbezi Luis, Dar es Salaam wanaodai amewapoka maeneo yao kwa kutumia nafasi aliyokuwa nayo. Miongoni mwa wanaolalamika ni Rudolf Temba, ambaye amesema amedhulumiwa ekari 2.5…

Mwalimu atengeneza pombe maabara, yaua

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu wamo katika hali mbaya baada ya kunywa pombe iliyotengenezwa na mwalimu wa somo la Kemia wa Shule ya Sekondari ya Chole. Miongoni mwa waliokunywa pombe hiyo ni Ramadhani Pakacha na Shaibu Pakacha, ndugu…

NHIF yawashtukia waliotaka kukwapua bil. 7/-

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wamefanikiwa kuwabaini wajanja waliokuwa wanataka kuuibia mfuko huo Sh bilioni 7.4 kupitia madai hewa. Hayo yamebainishwa hivi karibuni na Mkurugenzi Mkuu…

Wateja wa mama lishe hatarini kupata saratani

Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) limewaonya watu wanaokuka chakula kwa mama lishe ambao wanatumia karatasi za plastiki kufunika vyakula vyao kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata ugonjwa wa saratani. Aidha, NEMC pia imetoa onyo kwa watu wanaopenda…