JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mauzo ya korosho bado pasua kichwa Pwani

Jitihada za serikali kuwatafutia wateja wakulima wa korosho za daraja la tatu mkoani Pwani zimegonga mwamba baada ya wanunuzi hao kupendekeza bei ambayo wakulima wameikataa. Kutokana na hilo, mnada wa korosho hizo za daraja la tatu uliofanyika wiki iliyopita umeshindwa…

TRA yaainisha mikakati ya kuongeza mapato

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika nusu ya pili ya mwaka wa fedha 2019/2020 itahakikisha inaongeza makusanyo ya kodi ili kuiwezesha serikali kutekeleza Dira yake ya Maendeleo ya Taifa kwa kutegemea mapato yake ya ndani. Akiainisha mikakati watakayoitumia kufanikisha…

Kisarawe wajipanga kukabiliana na mabusha

Watu 450 wilayani Kisarawe, mkoani Pwani wamefanyiwa upasuaji wa mabusha katika kambi maalumu iliyoendeshwa na madaktari bingwa wa upasuaji.  Akizungumza na JAMHURI, Mganga Mkuu wa wilaya hiyo, Dk. Starford Mwakatage, anasema kuwa tatizo la mabusha wilyani humo ni kubwa na…

TRA yaanzisha mnada kwa njia ya mtandao

Watu ambao wanapenda kushiriki mnada kwa njia ya mtandao utakaokuwa unaendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni lazima wawe na simu ya mkononi au kompyuta mpakato iliyounganishwa na intaneti. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma na…

Lamadi yapata mwekezaji kutoka Malaysia

Wilaya ya Busega mkoani Simiyu imefanikiwa kumpata muwekezaji kutoka Malaysia atakayewekeza Sh trilioni 6 kwenye Hifadhi ya Kijereshi ili kukuza utalii katika eneo hilo. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Busega, Raphael Chegeni, wakati wa kuhitimishwa kwa tamasha la…

Mwaka wa miradi 

Mwaka 2019 ni mwaka ambao Tanzania imeshuhudia uzinduzi wa miradi mingi mikubwa pengine kuliko mwaka wowote tangu nchi ipate Uhuru Desemba 9, 1961. Hata hivyo, wakati baadhi ya watu wakiisifu Serikali ya Awamu ya Tano kwa kazi hiyo chini ya…