JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mikopo mingi yatumika kwa mahitaji binafsi

Fedha nyingi wanazokopa Watanzania kutoka vyanzo mbalimbali hutumika zaidi kukidhi mahitaji yao binafsi kuliko kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji na kununua rasilimali kama nyumba na ardhi, utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida moja la nchini Uingereza umebaini. Kwa mujibu wa…

Bashe matatani

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Chai Lupembe kutokana na hatua yake ya kuvunja bodi ya chama hicho na kuteua watu wa kusimamia uendeshaji wa shamba la chai…

UMATI yaondolewa kwenye ‘nyumba yake’

MWANZA NA MWANDISHI WETU Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) kimeingia katika mgororo wa umiliki wa nyumba ambayo kilikuwa kinaitumia kama kliniki ya matibabu wilayani Ilemela, mkoani Mwanza. Ingawa UMATI inadai kuimiliki nyumba hiyo baada ya kuinunua kwa…

Mambo ya Ndani kiti cha moto

· Mawaziri wengi hawadumu zaidi ya miaka miwili DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kutimuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, wiki iliyopita kumeifanya wizara hiyo iendelee kuwa miongoni mwa wizara ambazo zimeongozwa na idadi kubwa…

Polisi Moshi yakanusha hujuma miundombinu

Uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro umeshindwa kubaini kuwepo kwa hujuma zozote dhidi ya njia ya reli kati ya Moshi na Arusha. Polisi walilazimika kufanya uchunguzi huo baada ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, kusema…

Wanaouguza wagonjwa Muhimbili kuandamana

Kundi la watu wanaouguza zaidi ya wagonjwa 1,000 wanaoishi katika banda nje ya geti la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wamepanga kuandamana kwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kufuatia kitendo cha uongozi wa hospitali hiyo…