JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Kilichomponza Makonda

Misimamo mikali ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenye masuala yenye utata mkubwa inatajwa kama sababu kubwa ya Marekani kumwekea vikwazo vya kusafiri kwenda kwenye nchi hiyo kubwa kiuchumi na kijeshi duniani. Wiki iliyopita taarifa iliyotolewa…

Mali zilizoporwa Lupembe zarejeshwa kwa agizo la Bashe

Ziara iliyofanywa na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, mkoani Njombe hivi karibuni imesaidia kurejeshwa kwa mali za ushirika zilizokuwa zimeporwa na viongozi wasio waaminifu wa ushirika wa eneo la Lupembe, mkoani humo. Kaimu Naibu Mrajisi wa Vyama vya Ushirika…

Waliokufa kwa kukanyagana waanza kuzikwa

Mazishi ya watu 20 waliofariki dunia katika tukio linalotajwa kuwa baya kuwahi kutokea katika Mkoa wa Kilimanjaro kwa kukanyagana wakati wakigombea mafuta ya magonjwa mbalimbali yameanza. Watu hao walifariki dunia Jumamosi iliyopita katika viwanja vya Majengo baada ya ibada iliyoendeshwa…

Wajumbe kamati za ardhi waaswa

Wajumbe wa kamati za Urasimishaji Ardhi Kata ya Vikindu, wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani wametakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kupunguza migogoro ya ardhi maeneo ya vijijini. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Fillberto Sanga,…

Aishi miaka 111 bila kuugua

Si kila kinacholiwa kina faida mwilini. Kuna vyakula vya kujaza tumbo na vingine vya kujenga mwili. Inaelezwa chakula bora ni kile kinachojenga mwili, ambacho ndani yake kunakuwa na virutubisho vya kutosha. Hili ni jambo ambalo limethibitishwa kupitia maisha ya Rachel…

Akiba ya chakula nchini yaporomoka

Shehena ya nafaka zinazohifadhiwa kwenye maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) imepungua sana miaka ya hivi karibuni na kwa karibu miaka minne mfululizo imekuwa chini ya tani 100,000, JAMHURI limebaini. Takwimu za hivi karibuni za taasisi…