JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Shule yapokea msaada wa viti, chumvi

Kampuni ya Neelkanth Salt Limited imetoa msaada wa viti 100 na katoni 300 za chumvi kwa Shule ya Sekondari Shungubweni kama hatua ya kuunga mkono juhudi za serikali kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu mitihani yao ya darasa la saba mwaka jana…

Taasisi mbili zagombea shule Mkuranga

Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya ya Shule ya The Madrasat and Masjid Nnuru Sotele iliyopo wilayani Mkuranga wameiomba serikali kuzichunguza akaunti za fedha za taasisi ya wataalamu wa Kiislamu nchini, TAMPRO, ili kubaini usahihi wa akaunti hizo. Wajumbe wa Bodi…

Zaidi ya trilioni 4/- zatumika kununua mafuta

Tanzania ilitumia zaidi ya Sh trilioni 4 kununua bidhaa mbalimbali za mafuta kati ya Januari na Novemba mwaka jana kiasi ambacho ni zaidi ya gharama iliyotumika kwa mwaka mzima wa 2018, takwimu rasmi za biashara ya nje zinaonyesha. Fedha hizo…

Tanzania yaongoza miradi ya ujenzi Afrika Mashariki

Tanzania ilitumia zaidi ya Sh trilioni 4 kununua bidhaa mbalimbali za mafuta kati ya Januari na Novemba mwaka jana kiasi ambacho ni zaidi ya gharama iliyotumika kwa mwaka mzima wa 2018, takwimu rasmi za biashara ya nje zinaonyesha. Fedha hizo…

TBS walikoroga

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamelikoroga baada ya kutoa matokeo ya uchunguzi yaliyojaa utata kuhusu shehena ya mahindi kutoka nchini Marekani ambayo imekaa bandarini kwa miaka miwili.  Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini kwamba Oktoba mwaka jana Mamlaka ya Usimamizi…

Utendaji wa Puma wamkuna Kalemani

Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema serikali inaridhishwa na utendaji wa Kampuni ya kuagiza na kuuza mafuta ya Puma Energy Tanzania Limited na kuitaka kuendelea kuboresha shughuli zake hapa nchini. Dk. Kalemani ameyasema hayo jijini Dar es Salaam mwishoni…