JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Pwani kutumia ‘drones’ kupulizia mikorosho

Chama cha Ushirika mkoani Pwani kimesema kinatarajia kuboresha ukulima wa zao hilo kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya ndege zisizo na rubani (drones) kupulizia mikorosho yote dawa ya Sulphur ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo. Akiongea na JAMHURI, Mwenyekiti wa…

Benki Kuu yaja na kanuni mpya Dawati la Malalamiko

ARUSHA NA ZULFA MFINANGA Benki Kuu ya Tanzania (BoT)  imesema imo katika mchakato mahususi wa kupanua Dawati la Malalamiko na kuongeza wigo wa kutoa huduma kwa watoa huduma wote za kifedha, tofauti na ilivyo hivi sasa ambapo linapokea malalamiko ya…

Watoa huduma za mawasiliano kushindanishwa

Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imeamua kutoa changamoto kwa watoa huduma za mawasiliano kwa kuanzisha tuzo ambazo zitaibua watoa huduma bora.  Akizungumza na wahariri wa habari wiki iliyopita, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, amesema tuzo hizo zinatarajiwa kuwa…

Bei mazao ya chakula yapanda

Bei za jumla za mazao mengi ya chakula zilipanda kwa kiasi kikubwa mwezi Januari mwaka huu ikilinganishwa na mwezi uliotangulia kutokana na kuongezeka kwa mahitaji yake kwenye baadhi ya nchi jirani, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema. Kuongezeka kwa bei…

Faida za mawakala wa benki zaongezeka

Kuongezeka kwa mawakala wa benki kwa zaidi ya mara 30 tangu mwaka 2013 kumesaidia kwa kiwango kikubwa kusogeza huduma za kifedha karibu na wananchi na kuifanya biashara hiyo kuwa chanzo kizuri cha ajira na mapato kwa kaya mbalimbali. Kwa hivi…

Utata balozi wa heshima

Utata umejitokeza kuhusu raia wa Tanzania anayejitambulisha kuwa na hadhi ya kibalozi, akiwa na hati mbili za kusafiria, ikiwamo ya nchi nyingine. Sambamba na hilo, pia ana majina yanayotofautiana katika hati zote mbili, lakini anasema hana kosa lolote.   Hati…