Category: Kitaifa
Ole Leikata: Mil 700 za Rais Samia zamaliza ujenzi wa daraja korofi la Kiseru wilayani Kiteto
Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali baada ya ujenzi kukamilika. Daraja hilo…
ACT Wazalendo yapinga matokeo ya ubunge jimbo la Mbarali
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakikubaliani na matokeo ya ubunge yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kutangazwa jana na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Missana Kwangura . Kauli hiyo ilitolewa na Katibu…
Jenista awataka wananchi Kata ya Mtyangimbole Songea kumchagua mgombea udiwani CCM
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Madaba Songea. Wananchi wa Kata ya Mtyangimbole, Kijiji cha IKalangiro kilichopo Wilaya ya Songea Vijijini wametakiwa kutofanya makosa katika marudio ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo utakaofanyika Septemba 19, mwaka huu na kuombwa kumchagua…
Siasa zenu zisiharibu uhifadhi Ngorongoro
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anashutumiwa na vyombo vya dola kwa kauli zake zinazowachochea wananchi kutotii mamlaka za nchi na sheria za uhifadhi. Akiwa wilayani Ngorongoro amewataka wananchi wanaohama kwa hiari kutotii mpango huo,…