JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Barabara yawatesa wakazi Kisangara, Shighatini

· TARURA yasema mkandarasi yupo kazini · Mbunge asema bado mkandarasi hajapatikana · Mkandarasi agoma kuzungumza ARUSHA NA ZULFA MFINANGA Ubovu wa barabara inayounganisha Kata ya Shighatini na Ngujini wilayani Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro umeendelea kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo,…

Soko la Bidhaa lawanufaisha wakulima

Na Mwandishi Wetu Wakulima nchini wameanza kunufaika na kuwepo kwa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) ambalo lipo mahususi kusaidia masoko ya mazao yanapatikana kwa wakati sahihi na mauzo yanafanyika kwa ushindani stahiki. Na katika kuhakikisha kuwa faida za soko hilo…

Wanawake wajasiriamali wawezeshwa 7bn/-

Na Mwandishi Wetu Wanawake wajasiriamali zaidi ya 28,000 wamewezeshwa na serikali kupata mikopo yenye masharti nafuu kama sehemu ya kupambana na umaskini nchini na kuwashirikisha wananchi kikamilifu katika ujenzi wa taifa. Wizara ya Fedha na Mipango ilisema wiki iliyopita kuwa…

BRELA yafumuliwa

Menejimenti ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imefumuliwa. Katika mpango mahususi unaotajwa kuwa unalenga kupambana na rushwa, vishoka, utendaji wa mazoea, na kuifanya BRELA ishiriki vilivyo kwenye ujenzi wa uchumi wa taifa, vigogo watano tayari wameondolewa kwenye…

Mafuta Aprili kuchelewa

Wadau wa mchakato wa kuagiza mafuta wamekubaliana kupunguza kasi ya uingizaji wa mafuta kwa mwezi Aprili kama njia ya kukabiliana na mrundikano wa bidhaa hiyo. Makubaliano hayo yanatokana na ombi la Umoja wa Kampuni za Biashara ya Mafuta (TAOMAC) kutaka…

Madhara ya corona yaanza kuonekana kwa wakulima

DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Uuzaji wa mazao ya asili nje ya nchi umepungua kwa kiasi kikubwa katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kuibuka kwa maambukizi ya virusi vya corona, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, amethibitisha. Akizungumza na…