JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

DRC kupata huduma za afya Tanzania

Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika imetenga zaidi ya Sh milioni 550 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali na kituo cha afya ili kuwasogezea wananchi huduma na kuokoa vifo vya mama na mtoto. Ujenzi huo unahusisha Hospitali ya Ikola iliyopo Karema…

Mwinyi ahimiza amani, umoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka Wazanzibari kuimarisha amani na umoja walionao ili kuleta maendeleo. Akizungumza katika Msikiti wa Ijumaa wa Bweleo, Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya Sala…

Stieglers hatarini

Wakati serikali ikiwekeza matrilioni ya fedha kupata umeme wa uhakika kutoka katika Bwawa la Nyerere lililoko Rufiji mkoani Pwani, hali ni tofauti kwenye vyanzo vya maji ya Mto Rufiji.  Mto Rufiji ambao ndio chanzo kikuu cha umeme wa Stieglers (sasa…

Dk. Kalemani: Corona isikwamishe miradi

Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amewataka makandarasi wanaotekeleza miradi ya usambazaji wa umeme vijijini kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona huku wakiendelea kutekeleza miradi hiyo na kuikamilisha kwa wakati. Akizungumza wakati akiwasha umeme katika Kituo cha…

Walemavu walalamika ombaomba kuondolewa

Hatua ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kutunga sheria ya kuwaondoa ombaomba jijini inapingwa na Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA), kikidai kutozingatiwa kwa hali na utu wa watu wenye ulemavu.  Manispaa ya Ilala imetunga sheria ndogo kupiga marufuku ombaomba katika…

Dunia yazizima

Wakati dunia ikizizima kutokana na kusambaa kwa ugonjwa wa corona, kamati za maafa katika mikoa mbalimbali nchini zimekuwa katika kipindi cha tahadhari zikisimamia kanuni na maelekezo yanayotolewa na Serikali Kuu za kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo. Hadi tunakwenda mitamboni, ni…