JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

Treni binafsi za mizigo zatumia reli ya TAZARA ubebaji mizigo

Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA ni kampuni ambayo inafanya usafirishaji wa mzigo kupitia mpaka wa Tunduma mkoani Songwe ambapo Zambia na DRC Congo ndiyo zenye kutumia kwa kiwango kikubwa reli ya Tanzania kwa kubeba mzigo yake mingi…

IMF yashusha makadirio ya ukuaji uchumi wa dunia

Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha, uliopelekea kuwepo ukwasi wa kutosha katika mabenki, na hivyo kuchochea ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi. Hata hivyo, Kamati imeendelea kufuatilia kwa karibu ongezeko la mfumuko wa bei kutokana na kupanda kwa…

Bei ya petroli, dizeli yaendelea kupaa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Bei ya mafuta nchini Tanzania, imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai 2022 ambapo petroli imepanda kwa Sh.190 kwa kila lita na Sh179 kwa kila lita ya dizeli huku mafuta ya taa yakipanda kwa Sh323…

Watalii 35 kutoka Israel watua Rombo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rombo KIKUNDI cha Upendo Group kutokea nchini Israel kimewasili katika Wilaya ya Rombo kwa wiki mbili kuanzia Julai 26 hadi Agosti 6, mwaka huu. Pamoja na kufanya utalii, lakini kikundi hicho kitakarabati madarasa mawili ya shule ya msingi…

NMB yamwaga neema shule tano Temeke

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa vifaa mbali mbali vyenye thamani ya milioni 39 kwa shule tano za Temeke huku iksisitiza dhamira yake ya kuendelea kusaidia mipango ya maendeleo ya sekta ya elimu nchini kote. Vifaa…

Bandari ya Bagamoyo itumike kumuenzi JPM

BAGAMOYO  Na Mwandishi Wetu Kwa kiasi kikubwa nguzo za uchumi wa Kenya, mbali na utalii, ni kupakana kwa taifa hilo na Bahari ya Hindi na kuifanya Bandari ya Mombasa kuwa lango kuu la biashara kimataifa. Miezi michache iliyopita, Rais Uhuru…