JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

Mkenda akerwa kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA mkoani Simiyu. Ameagiza wataalamu wote wa usimamizi wa chuo hicho ambao ni kutoka chuo cha ufundi Arusha waweke kambi…

Majaliwa:Watalii waongezeka nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema takwimu za mwaka 2021 zinaonesha kuwa watalii wanaokuja nchini Tanzania wameongezeka kwa asilimia 48.6 kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 na kufikia watalii 922,692 mwaka 2021. Mheshimiwa Majaliwa amesema mbali na kuongezeka kwa idadi ya watalii…

TPA yawahakikishia wadau wa madini kuwahudumia kwa ufanisi

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA imewakikishia Wadau wa Sekta ya Madini Nchini kuendelea kuhudumiwa kwa Weledi na ufanisi wakati wote wa kusafirisha nje ya Nchi au kuingiza Nchini bidhaa na malighafi za Sekta ya Madini. TPA inashiriki kikamilifu…

Idadi ya mapato ya watalii nchini yazidi kuongezeka

Idadi ya mapato yatokanayo na utalii imeongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 kwa mwaka 2021. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati…

Trioni 2.78 kutekeleza miradi ya elimu nchini

Angela Msimbira,JamhuriMedia,Arusha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Innocent Bashungwa amesema Serikali itatumia kiasi cha shilingi trioni 2. 78 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya elimu nchini Ameyasema hayo leo tarehe 24…

Waliovamia msitu wa Bondo watakiwa kuondoka

Wananchi waliovamia Hifadhi ya Msitu wa Bondo wametakiwa kuondoka ndani ya hifadhi hiyo ifikapo Desemba 30,2022. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii, alipokuwa akijibu swali la mbunge…