Category: Uchumi
RC Wangabo ashauri gereza la Mollo kujikita kwenye uzalishaji wa mbegu za mahindi na kuuza.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amelishauri gereza la kilimo la Mollo kuona umuhimu wa kujikita kwenye uzalishaji wa mbegu ili kuuza na gereza hilo kuweza kujiendesha na kupambana na changamoto mbalimbali zilizopo katika gereza hilo. Amesema…
Chama Cha Maofisa Uhusiano Chazinduliwa Dar
CHAMA Cha Maofisa Uhusiano wa Umma (PRST) kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, ambapo maudhui makubwa ya kuundwa kwa umoja huo ni kutambulika rasmi kama taasisi na kupanuana mawazo ya utumishi miongoni mwa wanachama, ikiwa ni pamaoja na kuendesha shughuli zao…
RC WANGABO: Wenye Madeni Lazima Wakatiwe Maji
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo ameiagiza Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (SUWASA) kuwakatia maji wateja wenye madeni sugu ili waweze kulipa madeni yao wanayodaiwa na taasisi mbalimbali za serikali nchini. Amesema kuwa uendeshaji…
Mapya yamfika Muhongo
Mambo hubadilika ghafla. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, anatarajiwa kuhojiwa na vyombo vya usalama leo kutokana na sakata la mchanga wenye madini. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI zimethibitisha kuwa Prof. Muhongo atahojiwa kuhusiana na ripoti ya…
Ulaji wa kutisha bungeni
Mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, ya kumlipa kila mbunge mafao ya Sh milioni 238 baada ya Bunge kuvunjwa mwezi ujao, yanazidi kuichanganya Serikali. Duru za uchunguzi zinaonyesha kuwa tayari Serikali inakabiliwa na ukata mkubwa, kiasi cha kusuasua kuwalipa…
AGPAHI yamwaga misaada Shinyanga
Shirika la AGPAHI, linalojihusisha na mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI, limezindua majengo mawili kwa ajili ya Huduma za Tiba na Matunzo kwa watu wanaoishi na vimelea hivyo. Shirika hilo linalofadhiliwa na watu wa Marekani…