Category: Uchumi
ASKOFU KAKOBE: NINA UTAJIRI ZAIDI YA SERIKALI ZOTE DUNIANI
Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amesema haofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na ukwasi anaoumiliki na kuongeza kuwa fedha alizonazo ni Zaidi ya fedha zinazomilikiwa na serikali nyingi Duniani. Akizungumza wakati wa ibada ya…
WAZIRI MKUU, MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MIKOROSHO BORA RUANGWA, LINDI
Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa zao la korosho Kuhakikisha wanapunguza na kuondoa Miti ya Mikorosho ambayo Inamiaka mingi shambani ambayo Inasababisha Kutoa mavuno hafifu na Yenye Ubora usiohitajika katika soko lakimataifa. Majaliwa ameyasema…
WAZIRI MPANGO: FEDHA ZA KIGENI MWISHO 31 DISEMBA 2017 HAPA NCHINI
Serikali imeweka zuio la matumizi ya fedha za kigeni katika manunuzi ya huduma na bidhaa mbalimbali nchini ili kulinda nguvu ya fedha ya Tanzania. Hatua hii imekuja kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe…
Waziri Jafo Aitaka TBA Kufanya Kazi kwa Wakati
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI ,SELELAM JAFO amesema i WAKALA WA MAJENGO TANZANIA –TBA umekuwa kikwazo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa majengo ya Serikali. Ametoa kauli hiyo wilayani…
BENK KUU YAITAKA AIRTEL KUWASILISHA TAARIFA ZAKE ZA KUANZIA 2000
Kufuatia sakata la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Disemba 28, 2017 iliziandikia benki zote na taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikisimamia akaunti za iliyokuwa Celtel, Zain au Airtel kuwasilisha taarifa hizo. BoT imezitaka…
ZITTO KABWE AANIKA MALI ZAKE MTANDAONI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo ameweka taarifa za mali zake zote zikiwemo, madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo kwa mwaka 2016, kama sheria inavyoagiza viongozi wa umma. Zitto pia ametoa rai kuwa ni vyema Daftari la Rasilimali na…