JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Biashara

Jafo atoa siku 7 kwa wafanyabiashara wenye mifuko ya plastiki kuisalimisha

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo ametoa muda wa siku 7 kwa Wafanyabiashara na Wananchi Wenye Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuisalimisha kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kupitia kikosi…

Serikali yapiga marufuku wauzaji viwanja vya 20 kwa 20

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt.Angeline Mabula amezipiga marufuku kampuni na watu wanazojihusisha na uuzaji holela wa viwanja ambao hauzingatii matakwa ya Sheria ya Mipangomiji Na 8 ya Mwaka 2007 Sura 355. Ni kampuni…

Serikali kuja na mpango ufugaji nyuki wa manzuki

Serikali imejipanga kuja na mpango wa ufugaji nyuki ujulikanao kama Manzuki ambapo nyuki watakuwa wanafugwa katika eneo maalum bila kuathiri uhifadhi. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata…

Wadaiwa kubakwa kwa ahadi ya kusafishwa nyota na mganga wa kienyeji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata na linamshikilia mzeee mmoja aliyefahamika kwa jina la Simbuka Makande (62), mganga wa kienyeji mkazi wa Kijiji cha Magengase Mkoa wa Tabora kwa tuhuma za kumbaka mwanamke ambaye ni mfanya…

Waziri akagua mradi wa kitalu cha miche ya mil.43/-

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo katika…