JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Biashara

Halotel kuwapatia wanafunzi wa vyuo salio la bure

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa huduma zake kwa wateja.  Leo kampuni imetangaza huduma mpya inayolenga kuchochea usomaji kwa wanafunzi wa elimu ya juu…

Uboreshaji bandari unahitaji uwekezaji

Na Stella Aron,JamhuriMedia NI lini Tanzania itaandika historia yake kwa kujiweka imara na kukuza uchumi kupitia biashara iliyoongezeka, kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni na kutengeneza ajira kupitia bandari ya Dar es Salaaam. Kuna maswali mengi ambayo hukosa…

TRA yaibuka mshindi wa jumla tuzo za NBAA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora wa taarifa za hesabu mwaka 2021 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu katika Taasisi za Umma yaani mfumo wa…

NMB yaibuka kinara tuzo za TRA

Benki ya NMB imeibuka kinara katika tuzo za mlipa kodi mkubwa zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA). Benki hiyo imeshinda tuzo tatu zinazoitambua kama mlipa Kodi Mkubwa nchini kwa mwaka 2021/2022. Tuzo hizo ni mshindi wa kwanza; taasisi inayozingatia…

Zao la korosho lawaingizia wakulima Ruvuma bil.291/-

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Takwimu za uzalishaji wa zao la korosho mkoani Ruvuma zinaonesha kuwa katika kipindi cha miaka mitano mfululizo zao hilo limewaingizia wakulima shilingi bilioni 291.9. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakati anafungua…

Koyi: Mimi ni Rais halali TCCIA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Chemba ya Biashara,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi amesema yeye ni kiongozi halali wa chemba hiyo kwa mujibu wa katiba. Koyi ametoa kauli hiyo siku moja tu, baada ya baadhi ya wanachama wa chemba…