Category: Biashara
Serikali yazungumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya saruji
Serikali imezugumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya Saruji aina ya Hauxin inayozalishwa na kiwanda cha Maweni Limestone Limited kilichopo Mkoani Tanga kuhusu upungufu wa uzito wa bidhaa hiyo. Naibu Waziri wa uwekezaji,viwanda na biashara Exaud Kigahe (Mb) ameyabainisha hayo…
Mfumuko wa bei za bidhaa washuka nchini
Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma chini Tanzania umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia Februari 2023 tofauti na ilivyokuwa asilimia 4.9 kwa mwaka ulioshia Januari 2023. Mfumuko wa bei wa taifa hupima…
Kampeni ya ‘NMB Mastabata kotekote’ yafikia ukingoni
Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne inayogharamiwa kila kitu na Benki ya NMB. Kampeni…
NMB yafadhili mafunzo ya bodaboda yatakayofanyika nchini Rwanda
Benki ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na waendesha bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wanaoondoka nchini Jumatatu Februari 6,kwenda Kigali, Rwanda. NMB imekabidhi tiketi 12 za…
Benki ya Maendeleo Plc yapata faida maradufu 2022
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Benki ya Maendeleo Plc imepata faida ya shilingi Bilioni 1.3 mwaka 2022 ukilinganisha na faida ya shilingi milioni 587 ambapo ni sawa na ongezeko la zaidi ya mara mbili ya faida hiyo. Hayo yamesemwa Jijini Dar es…