Category: Biashara
NMB inavyoijali jamii inamofanya kazi
Hakuna sheria maalumu ya jumla nchini Tanzania inayozilazimisha kampuni kuchangia miradi mbalimbali ya kijamii. Licha ya sheria kuwa kimya juu ya kile kinachopaswa kufanywa na kampuni na wadau wa sekta za ziada katika kuwajibika kwa jamii kupitia CSR, zipo kampuni…
Halotel kutumia bilioni 3.8/- usajili wa laini
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel imesema changamoto kubwa kwake kibiashara mwaka huu imekuwa zoezi la kusajili laini kwa njia ya alama za vidole ambalo mpaka sasa hivi limeigharimu kampuni hiyo zaidi ya…
Biashara nje ya nchi yaanza kuirmarika
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Biashara kati ya Tanzania na nchi nyingine duniani imeanza kuimarika baada ya miaka mitatu ya mdororo kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa uagizaji wa bidhaa na huduma mbalimbali kutoka nje, JAMHURI limebaini. Kuimarika…
Matumizi ya intaneti kupitia simu yaongezeka
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mapinduzi makubwa ya kimfumo na uwekezaji wa kutosha kwenye teknolojia mpya kumesaidia kupanua upatikanaji wa huduma za intaneti nchini katika kipindi cha muongo mmoja. Takwimu za kisekta zinaonyesha kuwa miaka kumi iliyopita watumiaji wa…
TIC yafafanua uwekezaji kupungua
Shughuli za uwekezaji duniani zimedorora kwa kiasi kikubwa miaka ya hivi karibuni na hii imetajwa kuwa sababu kubwa ya kupungua kwa mitaji binafsi kutoka nje (FDI), ambako kumejitokeza nchini tangu mwaka 2015, wataalamu wa sekta hii muhimu katika uchumi wa…
Mabalozi SADC waunda umoja Qatar
Mabalozi wa nchi za SADC walioko Qatar wameunda umoja unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimaendeleo na taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati ambalo ni moja kati ya wazalishaji wakubwa wa gesi asilia duniani. Ikiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya…