JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Tunahitaji Rais dikteta-Msuya

Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya amesema kwamba Tanzania kwa sasa inahitaji Rais mwenye uamuzi mgumu, mwenye kariba ya udikteta. Waziri Mkuu huyo mwenye rekodi ya aina yake ya kutumikia wadhifa huo kwa marais wawili wa awamu ya kwanza na…

Abood, Makalla, Shabiby ni wabunge hatari Moro

Wakati mauaji na uhasama kati ya wakulima na wafugaji yakishika kasi katika wilaya za Kilosa na Mvomero, Morogoro, wananchi wamewalalamikia wabunge wa mkoa huo kuwa wanahusika mgogoro huo, JAMHURI limeweza kuripoti.  Taarifa ambazo gazeti hili imezipata zinasema kwamba wananchi hao…

Dakika 480 za Obama Kenya

Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, kusafisha njia Kenya kwa ziara ya siku tatu aliyoifanya mwanzoni mwa mwezi huu, imethibitika kuwa Rais Obama atatua Nairobi kwa ulinzi mkali na kufanya ziara ya saa 8 tu….

JWTZ wacharuka

Baada ya kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) kuua askari mahiri wawili wa Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) sasa limetangaza mkakati mzito wa kusambaratisha kundi hilo. Habari za uhakika kutoka ndani ya JWTZ zinasema…

Msigwa amgeuka Nyalandu

Wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ikitarajiwa kumwita kwa mara ya tatu Waziri wa Maliasili na Utalii kujadili mipango ya bajeti yake, ‘swahiba’ wake, Mchungaji Peter Msigwa, amemgeuka.   Mchungaji Msigwa, Waziri wa Kivuli wa wizara hiyo, ameshtushwa na hasara…

Mbowe: Tunaingia Ikulu Oktoba 2015

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anasema; “Rais Jakaya Kikwete na CCM yake wamekwama na atatukabidhi nchi Oktoba.”  Mbowe, ambaye yuko kwenye ziara ya kuimarisha chama katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, anasema kwamba kukwama kwa…