Category: Siasa
Msuya asisitiza: Kila mtu atabeba msalaba wake
Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, amesema ajenda kuu ya sasa kwa Mtanzania ni kupata elimu bora, lakini anasikitika kuona Rais Jakaya Kikwete akidanganywa, naye anakubali kudanganyika. Pia amesema hajutii kauli yake aliyoitoa akiwa Waziri wa Fedha kuwa “Kila mtu…
Ni zamu ya William Ngeleja
Wakati makada wa CCM wenye nia ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete wakiendelea kutangaza nia zao, imedhihirika kwamba William Ngeleja naye atafanya hivyo Alhamisi wiki hii. Taarifa ambazo gazeti hili imezinasa zinasema kwamba Ngeleja – mbunge wa Jimbo la Sengerema atatangaza…
Magufuli aibua mtikisiko urais
Uamuzi wa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kutangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umezidi kunogesha mchuano wa kuwania nafasi hiyo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa muda mrefu sasa, Waziri huyo amekuwa akitajwa kuwa…
CCM wana la kujifunza
2015 ni mwaka ambao macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kuwa katika kipindi cha changamoto ya wanachama wake ambao wanasaka nafasi ya ukubwa wa nchi. CCM inakumbana na changamoto ya wanachama wake kupigana…
Wanawake wabakwa, nyumba zateketezwa
Wanawake tisa wa Kijiji cha Mabwegere, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wamelishutumu Jeshi la Polisi wilayani humo kwa kuharibu ushahidi, baada ya kubakwa na kikundi cha vijana wa ‘mwano’ kilichovamia eneo hilo na kuteketeza nyumba kwa moto. Wanawake hao pamoja…
Polisi tatizo migogoro Morogoro – Makalla
Baada ya wananchi wa Wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro kuwataja wabunge wa mkoa huo kuhusika na migogoro kati ya wakulima na wafugaji, Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla, amesema chanzo ni udhaifu wa Jeshi la Polisi. Amos Makalla, ambaye…