Category: Siasa
Manispaa Kinondoni ‘yauza’ barabara
Serikali Kuu na Manispaa ya Kinondoni wameruhusu ujenzi wa Shule ya Saint Florence Academy iliyopo Mikocheni “B”, Dar es Salaam juu ya barabara. Hatua hiyo, licha ya kuwa imevunja sheria za Mipango Miji, imekuwa kero na hatari kwa usalama wa…
Chanjo ya mwekezaji hatari
Mwekezaji wa kampuni ya utafutaji wa mafuta na gesi kwenye miamba iliyopo chini ya maji katika eneo la kusini mwa Ziwa Tanganyika, amezua tafrani kwa kuwalazimisha wafanyakazi kuchanja dhidi ya magonjwa ya tumbo (typhoid). Kampuni hiyo ya Beach Petroleum inayomilikiwa…
Kiburi chanzo cha ajali
Ajali ya gari iliyoua watu 23 papo hapo na kujeruhi wengine 34, imeongeza maumivu mengine kwa Watanzania ambako sasa takwimu zinaonesha zaidi ya abiria 1,000 wamepoteza maisha. Ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita ilihusisha basi la Kampuni ya Another…
Jaji Ramadhani sasa tishio
Jaji Augustino Ramadhani amesema endapo atafanikiwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, watu wasitarajie kuwa “uchungaji” wake utamfanya awe na huruma na wakosaji. Katika mahojiano maalum na JAMHURI, Jaji Ramadhani amesema atapambana na wala rushwa kama alivyofanya…
TFDA yafunga viwanda India
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeelezwa kuwa ni taasisi bora barani Afrika inayoheshimika na kuaminika na Shirika la Afya Duniani (WHO), kutokana na utendaji wake uliokidhi viwango vya ubora. Hayo yameelezwa wiki iliyopita na Waziri wa Afya na…
Ulaji wa kutisha bungeni
Mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, ya kumlipa kila mbunge mafao ya Sh milioni 238 baada ya Bunge kuvunjwa mwezi ujao, yanazidi kuichanganya Serikali. Duru za uchunguzi zinaonyesha kuwa tayari Serikali inakabiliwa na ukata mkubwa, kiasi cha kusuasua kuwalipa…