Category: Siasa
Wagonjwa wahaha zahanati kufungwa
Baadhi ya wagonjwa wanahaha mjini hapa baada ya Serikali kupitia Idara ya Afya Mkoa wa Geita, kufunga Kituo cha Afya cha Msufini kilichopo Mtaa wa Msalala, Kata ya Kalangalala wilayani Geita. Uongozi wa kituo hicho umeagizwa kuomba upya usajili wa…
Ripoti iliyomng’oa Dk. Slaa yavuja
Ripoti ya utafiti iliyokabidhiwa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayomtaja Dk. Willibrod Slaa, kama mwanasiasa mwenye mvuto miongoni mwa wapinzani anayestahili kuwania urais kupitia Ukawa, hatimaye imepatikana; JAMHURI linathibitisha. Kutupwa kwa ripoti hiyo kunatajwa kuwa ndiyo chachu iliyomfanya…
Rais JK, Wazee watokwa jasho
Kikao cha Baraza la Ushauri la Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kifanyike wiki iliyopita, kilishindikana baada ya kuchafuka kwa “hali ya hewa”. Hali ya mambo ilibadilika baada ya mpango wa Rais Jakaya Kikwete wa kuwatumia kama njia ya yeye kukwepa…
Wachina wabuni uhujumu uchumi mwingine
Kwa sasa kumetokea mchezo mchafu unaofanywa na raia wa China na Singapore walio hapa nchini. Mchezo huu umeshamiri baada ya baadhi ya Wachina wasio waaminifu kushiriki biashara ya pembe za ndovu. Wameanzisha utaratibu wa kusajili kampuni za kusafirisha samaki hai…
Chanjo ya sumu kuteketeza 190
Chanjo iliyotolewa na mwekezaji wa Kampuni ya Utafutaji wa Mafuta na Gesi kwenye miamba iliyopo chini ya maji katika eneo la kusini mwa Ziwa Tanganyika, imeelezwa itateketeza taratibu watu zaidi ya 190 kati yao Watanzania wakiwa asilimia 90, imefahamika. Chanjo…
JK awatumia Wazee kumng’oa Lowassa
Baraza la Ushauri la Wazee wa CCM linaundwa na wajumbe sita ambao ni wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu Taifa wa chama hicho. Nao ni Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (Mwenyekiti), Makamu Mwenyekiti mstaafu (Tanzania Bara), Pius Msekwa (Katibu); Benjamin Mkapa…