Category: Siasa
ACT – Wazalendo Wapata Pigo Jingine
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na liyekuwa mweyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Mama Anna Mgwira ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Anna Mgwira ametangaza uamuzi wake huo, leo katika Mkutano Mkuu wa umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania…
Polisi wa Israel Yawajeruhi Wapalestina Zaidi Ya 30 Ukanda wa Gaza
Vurugu zimeendelea huko ukanda wa gaza na ukingo wa magharibi ambapo zaidi ya wapalestina thelathini wamejeruhiwa katika makabiliano na polisi wa Israel Hii ni kufuatia Rais Donald Trump kutangaza kuutambua mji wa Yerusalemu kuwa mji mkuu wa Israel. Wakati huo…
Mahakama ya Liberia Yaruhusu Uchaguzi Kurudiwa Duru ya Pili
Mahakama kuu ya Liberia imesema kuwa ushahidi wa vitendo visivyokubalika katika uchaguzi wa Rais duru ya kwanza mwezi Oktoba hautoshi kuufanya uchaguzi kurudiwa. Hii inamaanisha kuwa mzunguko wa mwisho wa uchaguzi kati ya wagombea wawili waliokuwa wakiongoza yaani George Weah…
Palestine Yagoma Kumkaribisha Makamu wa Rais wa Marekani
Marekani imeionya Palestina dhidi ya maamuzi yake kutotaka kukutana na makamu wa rais Marekani ,Mike Pence katika kikao ambacho kilipangwa kufanyika mapema mwezi huu ili kujadili uamuzi wa rais Trump wa kuhamishia Yerusaleam kuwa mji mkuu wa Israel. Ikulu ya…
WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua ofisi ya Umoja wa Mataifa na kusema uamuzi huo ni hatua muhimu ya kuendeleza mchakato wa Serikali wa kuhamia Dodoma. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamsi, Desemba 7, 2017) wakati akizungumza na viongozi na watumishi…