JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

POLEPOLE: VIONGOZI WA DINI ENDELEENI KUTOA MAONI

KATIBU  wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema Askofu Zakaria Kakobe  na viongozi wengine wa dini  hawajazuiwa kuongea na kwamba wako huru kutoa maoni yao. Polepole ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo kimoja cha…

TUNDU LISSU AKAA MWENYEWE PASIPO MSAADA WA DAKTARI

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo amekaa mwenyewe pasipo msaada wa Daktari katika Hospital ya Nairobi anapopatiwa matibabu , baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani Area D mjini Dodoma. Hali yake inazidi kumarika siku baada ya siku, ambapo siku…

RAIS MAGUFULI ASHINDA TUZO YA MANDELA

Kamati ya Tuzo za Mandela huko Afrika Kusini zimempa Rais John Magufuli Tuzo ya Amani ya Mandela ya Mwaka 2017 ikiwa ni kutambua jitihada zake katika kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii. Tuzo hiyo ya amani ya Mandela ilikuwa…

ASANTE MUNGU, SASA TUNDU LISSU AFANYA MAZOEZI YA KUTEMBEA

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika na ameanza rasmi kufanya mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ambako anapatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma…

PIGO: CHADEMA YAZIDI KUANGAMIA

Kwa lugha nyingine tunaweza kusema CHADEMA inazidi kuangamia kutokana na kinachoendelea ndani ya chama hicho kuondokewa na viongozi pamoja na wanachama wake kutimkia chama tawala CCM. Leo aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA Wilaya Ngorongoro, Samweli Ole Nakumbale, aliyekuwa mgombea ubunge wa…

AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Apata Ajali ya Gari

AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa. Yeye bado na watoto wawili bado wako hospital ya Wilaya Kiomboi ambapo mtoto…