Category: Siasa
CHADEMA: VIONGOZI WA DINI MSIOGOPE KUIKOSOA SERIKALI
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani bila wao kusema jamii ya Watanzania itaangamia. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ametoa kauli hiyo wakati…
KANISA KATOLIKI LAITISHA MAANDAMANO YA AMANI KUMPINGA RAIS KABILA
Kuna wasi wasi wa kukosekana utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayokabiliwa kwa sasa na mgogoro wa kisiasa kufuatia kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo kuitisha maandamano ya amani. Kabila ambaye waandaaji wa maandamano hayo wanamtaka atamke wazi…
MBUNGE WA KIBAMBA, JOHN MNYIKA AWASHUKURU AKINA MAMA
Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Mh John Mnyika kupitia kwenye ukurasa wake Twitter amewashukuru wakina mama wa jimbo la Kibamba kupitia kikundi chao cha VIMA kwa kumualika kushiriki shughuli ya kufunga mwaka ya kikundi hicho. Mnyika amesema kuwa wataendelea kuwa…
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA, DKT. MNDOLWA AZINDUA KAMPENZI ZA UDIWANI KATA YA KWAGUDA, KOROGWE
Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukitoka Korogwe mjini kuelekea Kata ya Kwagunda Jimbo la Korogwe Vijijini kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za udiwani wa Kata hiyo ambapo Dkt Mndolwa alikuwa mgeni ramsi gari yaa…
AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA MAWAZIRI WANAISHI DAR ES SALAAM
Disemba 12 mwaka huu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliandika barua kwenda kwa Mawaziri, Manaibu Waziri, Wakurugenzi na watumishi wengine wa serikali ambao hawakai kwenye vituo vyao vya kazi kwa mujibu wa sheria, hatua za kisheria zitachukuliwa…
HAWA HAPA WANACHAMA WA CUF WALIOJIUNGA NA CCM, RUANGWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama wapya 60 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Wanachama hao wamepokelewa jana (Ijumaa, Desemba 29, 2017) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Nkowe kata ya Nkowe,…