Category: Siasa
Tanzia: Mke wa Mzee Kingunge Afariki Dunia
MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kueleza kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake…
WAZIRI JAFFO AAGIZA UJENZI WA BARABARA INAYOELEKEA HOSPITALI YA BUGURUNI KUJENGWA
Ilala kuanza ujenzi wa barabara ya Buguruni kwa mnyamani ndani ya wiki moja kuanzia leo ili kuondoa kero kwa wananchi wa eneo hilo. Waziri Jaffo ametoa agizo hilo baada ya kufanya ukaguzi katika barabara hiyo inayoelekea katika hospitali ya Buguruni…
MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA
Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na askari polisi wamejitokeza kuuaga mwili wa mke wa Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola, Bi Marry Lugola Jijini Dar es salaam. Bi Marry Lugola ambaye…
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA KISHINDO MWANZA
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kulia akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Ndg:Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ccm Mkoa wa Mwanza. Mjumbe wa…
MWANAHABARI JUSTINE LIMONGA AAGWA DAR
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, ameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanahabari, Justine Limonga iliyofanyika Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam leo mchana. Akizungumza katika ibada hiyo, Polepole alisema CCM na tasnia…
BABU SEYA, PAPII KOCHA WATINGA IKULU
Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia…