Category: Siasa
TIMU YA USHINDI WA NYALANDU WAPASUA JIPU KUHUSU KUMFATA NYALANDU
Nyalandu alijivua uanachama wa CCM na hivyo kujivua ubunge na sasa uchaguzi wa kumpata mrithi wake umepangwa kufanyika Januari 13. Katika kampeni hizo, Digha ambaye alikuwa mhimili muhimu kwa ushindi wa Nyalandu, anasaidiwa na Narumba Hanje (mwenyekiti wa zamani…
Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Kingunge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini…
Lissu Apanda Ndege, Apelekwa Ubelgiji
Ndugu, jamaa, marafiki na wabunge wakimuaga Lissu hospitalini hapo kabla ya kuepelekwa Ubelgiji. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi…
Rais Magufuli Ateua Naibu Waziri wa Madini Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemteua Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini.
TUNDU LISSU: JAMII YA KIMATAIFA INGILIENI KATI JAMAANI
Mbunge wa Singida Mashariki wa Chadema, Tundu Lissu amesema dalili zinaonesha watu waliomshambulia kwa risasi mjini Dodoma mwaka jana walikuwa na uhusiano na serikali. Lissu, akihutubia wanahabari kwa mara ya kwanza tangu kulazwa hospitalini, ameonekana kuilaumu serikali ya Rais John…
AFRICAN SPORTS YAPATA NEEMA KUTOKA KWA WAZIRI UMMY MWALIMU
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katikati akimkabidhi vifaa vya michezo ambavyo ni viatu Mwenyekiti wa timu ya African Sports Awadhi Salehe Pamba ikiwa ni kuipa motisha timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano wanayoshiriki ili waweze…