Category: Siasa
Hivi Ndivyo Mvua ya Ilivyosababisha Adha kwa Wananchi wa Dar es Salaam
MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na sehemu mbalimbali nchini zimeleta adha kwa wakazi wake ambapo mvua hizo zilizoanza kunyesha alfajiri leo zilisababisha foleni nyingi katika maeneo mbalimbali hasa eneo la Jangwani. Mbali ya foleni pia mvua hizo…
SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama amesema serikali itaendelea kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) katika kuleta tija na ufanisi katika sekta ya kazi kwa…
Serikali kununua mabehewa ya kisasa 1590
Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa serikali imeendelea kutekeleza mafanikio na miradi mbalimbali mikubwa Kitaifa. Akizungumza na wanahanari leo, Dkt. Abbas amesema kuwa pamoja na hayo yote miradi ikiwa…
Serikali Yawatoa Hofu Wananchi Kuhusu Tatizo la Umeme
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abass. Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu tatizo la umeme na utekelezaji wa mradi wa treni ya umeme nchini ambao ujenzi wake unaendelea. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo…
NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Pili, Darala la Nne
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu…
Rais Magufuli Aanika Madudu Zaidi Wizara ya Madini
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanika madudu mengine ya Wizara ya Madini akisema kuwa baadhi ya wateule wake katika wizara hiyo wamekuwa wazembe katika kutekeleza maagizo na kutimiza majukumu yao kama watendaji wa serikali….