JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

PIGO KWA MARA NYIGINE TENA MADIWANI WA CHADEMA LONGIDO WAJIUNGA NA CCM

  Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wamejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM, pia  jana hiyo hiyo tulishuhudia Mwanachadema mwingine, Muslim Hassanali alijiunga na CCM, Dar es Salaam. Kujiunga…

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUWA SOKO LA KISASA KINYASINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais…

Mzee Jakaya Kikwete Aungana na Wanayanga Kumzika Athumani Chama

Jeneza lenye mwili wa marehemu likifikishwa makaburini. RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mapema leo ameungana na baadhi ya wapenzi na wanachama  wa Klabu ya Yanga kuuzika mwili wa aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo…

Waziri Mbarawa Avamia Bandarini Usiku, Abaini Madudu!

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa jana usiku amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini mawakala wa meli wanaotoa huduma katika bandari hiyo hawafanyi kazi saa 24 kama Serikali ilivyoelekeza.   Prof. Mbarawa ameiagiza Mamlaka…

JPM Akutana na Kufanya Mazungumzo na Lowassa, Ikulu

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne, Januari 9, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam. Lowassa ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na alitekuwa…

KINGUNGE: VIPI ALI YA TUNDU LISSU JAMAANI !

Aliyekuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa 2015 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa (wa pili kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa Chadema,  Freeman Mbowe,  wakimjulia hali  Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili….