JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

WANANCHI WA LIWALE NA NACHINGWEA WALILIA BARABARA

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akionesha Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa watendaji wa Wilaya ya Liwale (hawapo pichani), ambapo utekelezaji wa miradi yote ya barabara hapa nchini umeanishwa humo wakati alipowatembelea kuona hali ya mtandao wa barabara katika…

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA USAFIRISHWAJI WA MBOLEA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na usafirishaji wa mbolea kutoka wa wasambazaji wa pembejeo nchini kwenda kwa wakulima. Pia ameitaka Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) kuwa na mikakati madhubuti itakayowezesha upatikanaji wa mbolea kwa wakati wote nchini. Ametoa kauli…

HUKUMU YA SCOPION YAPIGWA KALENDA HADI JANUARY 22

Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’  Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu…

TUNDU LISSU ANENA HAYA BAADA YA LOWASSA KUTINGA IKULU

Baada ya Lowassa kufika Ikulu kumtembelea Rais Magufuli, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amezungumzia kitendo kilichotokea kwa Mh. Lowasa kwenda Ikulu bila makubaliano ya chama(CHADEMA) Nanukuu kutoka kwenye page yake ya Instagram “Naomba na mimi niseme kwa uchache kuhusu…

MBOWE: KAULI ALIYOITOA LOWASSA SI TAMKO LA CHADEMA

Baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu Jiji Dar es Salaam, na kumwagia sifa kwa jinsi anavyoiendesha nchi hasa kwenye upande wa utengenezaji wa ajira kwa vijana kwa kujenga Mioundombinu ya usafiri kama vile Reli ya…

NAPE :SITAHAMA CCM MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU

MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), amesema kuwa hana mpango wa kuhamia chama chochote cha upinzani na ataendelea kubaki ndani ya CCM. Alisema hawezi kufanya uamuzi wa kuhamia katika vyama vya upinzani , huku akidai magari ya upinzani kwa sasa yanazidi…