JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Jumaa:Twendeni kwenye majukwaa tukaeleze yanayofanywa na Serikali

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi Taifa (MNEC)-Wazazi ,Hamoud Jumaa amewaasa wanaCCM kujipanga kwenda majukwaani kusema makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya sita sanjali na utekelezaji wa ilani. Ameeleza ,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fursa…

Mamia wafurika kumpokea Tindu Lissu

Hatimaye Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amewasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Ubelgiji na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho. Mwanasiasa huyo nguli wa upinzani ambaye awali alikuwa…

CHADEMA Lindi kushiriki mapokezi ya Lissu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Lindi kimepanga kushiriki mapokezi ya makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho upande wa Tanzania bara,Tundu Lissu.  Hayo yameelezwa leo Januari 20,2023 na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi, Zainabu Lipalapi wakati…

Katibu Mkuu DP aishauri Serikali kuanzisha Wizara ya Umwagiliaji

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokratic Party (DP), Abdul Mluya amemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Wizara Mpya ya Umwagiliaji ambayo itajikita katika kuhakikisha inajibu hoja za sekta ya umwagiliaji. Hayo ameyasema Dar es Salaam Januari…

Rais Samia amedhamiria kutatua kero za wanasiasa

Doyo Hassan Doyo ambaye ni katibu Mkuu wa Chama cha ‘Alliance For the Democratic Change’ (ADC), amesema kitendo cha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuitisha mkutano na vyama vya siasa kinapaswa kupongezwa kwa kuwa kinaimarisha afya katika siasa za hapa nchini….