Category: Siasa
MAJALIWA: NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Pia iwasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu ili kuhakikisha thamani ya miradi inayotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha wanacholipwa wakandarasi hao. Ametoa…
Picha za Mazishi ya Mama Kibatala Morogoro
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Marehemu Anastanzia Mayunga ambaye ni Mama wa Peter Kibatala aliyefariki tarehe 11/1/2018 na kuzikwa kwenye makuburi ya Kakola, Mkoani Morogoro. Makamu Mkt CHADEMA Bara Prof Abdallah…
RAIS MAGUFULI AKATAA MJADALA WA KUONGEZA MUDA WA URAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Januari, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey…
MAZISHI YA MAMA KIBATALA YASABABISHA KUHARISHWA KWA KIKAO CHA CHADEMA
Kamati Kuu ya Chadema iliyokuwa imepangwa kufanyika leo imeahirishwa hadi kesho. Kikao hicho kimeahirishwa ili kutoa fursa ya viongozi na wanachama wa Chadema kushiriki mazishi ya Anna Mayunga ambaye ni mama wa mkurugenzi wa sheria wa chama hicho, , Peter…
MAMA ANNA MGHWIRA AKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA KWA JESHI LA POLISI LA KILIMANJARO
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia kwa ajili ya sughuli ya kukabidhi maada wa vifaa vya…
AIRTEL YASIKITISHWA NA TAARIFA YA WAZIRI MPANGO
Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki Airtel Tanzania imeeleza kusikitishwa kwake na taarifa ya Waziri wa Mpango kuhusu umiliki wa kampuni hiyo kutokuwa halali. Bharti imesema, uwekezaji wake ulifuata na kuzingatia sheria na taratibu zote za nchi. Ikumbukwe siku chache zilizopita…