JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

MAGUFULI NA KAGAME WAKUBALIANA KUJENGA RELI YA KISASA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa Tanzania na Rwanda zimekubaliana kuunganisha Reli ya Kisasa (Standard Gauge) kutoka Isaka mkoani Shinyanga mpaka Kigali nchini Rwanda, ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizi…

UCHAGUZI MDOGO CCM YASHINDA KWA KISHINDO KWENYE MAJIMBO YOTE

Baada ya mbio ndefu za uchaguzi mdogo wa ubunge na Udiwni katika majimbo yote yaliyofanyika uchaguzi hatimaye matokeo yametoka ambapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi wa kishindo na kuwaacha mbali vyama vya upinzani. Akitangaza matokeo katika jimbo la Songea…

Damas Ndumbaro Mbunge Mpya wa Songea Mjini Ashinda kwa 97%

Dr. Damas Ndumbaro alipokuwa akitambulishwa kwa wananchi na Mwigulu Lameck Nchemba kabla ya kufanyika uchaguzi January 13, 2018. MGOMBEA Ubunge jimbo la Songea Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Damas Ndumbaro ameshinda Uchaguzi kwa kupata kura 45162 sawa na…

ACT Wazalendo: Trump Anapaswa Kuchukuliwa Hatua

Chama cha ACT Wazalendo kimetaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya rais Donald Trump kufuatia hatua yake ya kutoa matamshi ya chuki dhidi ya mataifa ya Afrika na raia wanaotoka bara la Afrika. Kulingana na gazeti la The Citizen ombi hilo…

Kiwanda cha Bora Kimeteketea Kwa Moto Usiku wa Jana

KIWANDA cha kutengeneza viatu cha Bora kinachotengeneza viatu aina ya kandambili kinateketea kwa moto usiku huu chanzo cha moto chake hakijafahamika wala madhara yaliyosababishwa na moto huo. Moto ni mkubwa sana ndani ya kiwanda hicho na kikosi cha zima moto…