JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

KESI YA SADIFA YAPIGWA KALENDA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeiharisha kesi inayomuhusu aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Donge, Zanzibar Sadifa Juma Khamis anayetuhumiwa kwa rushwa. Sadifa Juma Khamis alikamatwa nyumbani kwake Dodoma December 9, 2017 kwa tuhuma za Rushwa akidaiwa kuwapa wajumbe…

CHADEMA MGUU MMOJA NDANI, MGUU MMOJA NJEE JIMBO LA SIHA

Moshi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejitosa kusimamisha mgombea jimbo la Siha, kuchuana na mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel. Dk Mollel alikuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema hadi Desemba 14 mwaka jana, alipojivua uanachama Chadema na kujiuzulu…

WALIOISHIA DARASA LA 7 NA WENYE VYETI FEKI HATIMA YAO KUJULIKANA MACHI MWAKA HUU

Hatma ya watumishi walioondolewa kazini na serikali kutokana na vyeti feki, itajulikana mwezi machi mwaka huu. kauli hiyo imekuja baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), kukutana na baadhi ya viongozi wa serikali, akiwemo Waziri wa Ofisi ya…

WAZIRI MKUU ASIMAMISHA UUZAJI WA MALI ZA KNCU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bibi Anna Mghwira asitishe uuzwaji wa mali za Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU). Ametoa agizo hilo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara…

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WANAUME WA TARIME WAACHE UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaasa wanaume wa wilaya ya Tarime kujiepusha na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto pamoja na kuachana na kilimo cha bangi. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika…