JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya. Kufuatia hali hiyo amemtaka Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  afike ofisi ya Waziri Mkuu mjini…

WAZIRI MKUU ATATUA MGOGORO WA MIAKA MITATU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara ambao umedumu kwa miaka mitatu. Ametoa uamuzi huo leo (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akizungumza na watumishi na madiwani wa Halmashauri…

WAHUSIKA WA KUPEPERUSHA BENDERA KWENYE MELI WAPANDISHWA KIZIMBANI

Watu wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi wa kupeperusha Bendera ya Tanzania bila kibali. Mbali ya Haji, mshitakiwa mwingine ni mfanyabiashara…

RAIS MAGUFULI APIGA MARUFUKU WANAFUNZI KURUDISHWA NYUMBANI KWA KUKOSA MICHANGO ILIYO NJE YA KARO ZA SHULE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza Mawaziri Jafo na Ndalichako kusimamia hilo. Rais Magufuli ametoa…

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MHANDISI WA MAJI KWA NAIBU WAZIRI TAMISEMI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Josephat Kandege baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Ametoa uamuzi huo jana jioni (Jumanne,…