Category: Siasa
Majaliwa : Tutaendelea kuwatumikia Watanzania
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-CCM na wananchi kwa ujumla waendelee kuiamini Serikali yao kwa sababu watendaji wake wamejipanga kuwatumikia kwa weledi, uadilifu na uaminifu wa hali ya juu….
Chongolo ayataka mabaraza ya madiwani kuacha kulumbana
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameyataka mabaraza ya madiwani nchini kufanya kazi za kujadili maslahi ya wananchi na sio kulumbana kwa maslahi yao binafsi. Chongolo amesema hayo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM katika Kijiji…
Chongolo aanza ziara Morogoro,agusia migogoro ya wakulima na wafugaji
…………………………………………………………. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo ameanza ziara ya kikazi leo Januari 28 mkoani Morogoro huku akitumia nafasi hiyo kueleza sababu za kufanya ziara hiyo ndani ya mkoa huo. Aidha amesema pamoja na mambo mengine anatambua mkoa…
Ummy:Ondoeni hofu huduma zinazotolewa Mlongonzila ni bora sana
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amepongeza Menejimenti na watumishi wote katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa kuboresha ubora wa huduma za matibabu kwa wateja katika Hospitali hiyo. Waziri Ummy amesema hayo leo mara baada ya kufanya ziara katika Hospitali…