Category: Siasa
CUF, CCM KUCHUANA JIMBO LA KINONDONI
Aliyekuwa meneja kampeni wa Maulid Mtulia kwenye uchaguzi wa 2015 Kinondoni, Rajabu Salim Jumaa leo Alhamisi amechukua fomu kugombea ubunge jimbo hilo. Mwaka 2015 mgombea wa CUF Mtulia alishinda ubunge wa jimbo hilo lakini alijivua uanachama wa CUF na kuhamia…
KESI YA SADIFA YAPIGWA KALENDA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeiharisha kesi inayomuhusu aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Donge, Zanzibar Sadifa Juma Khamis anayetuhumiwa kwa rushwa. Sadifa Juma Khamis alikamatwa nyumbani kwake Dodoma December 9, 2017 kwa tuhuma za Rushwa akidaiwa kuwapa wajumbe…
CHADEMA MGUU MMOJA NDANI, MGUU MMOJA NJEE JIMBO LA SIHA
Moshi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejitosa kusimamisha mgombea jimbo la Siha, kuchuana na mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel. Dk Mollel alikuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema hadi Desemba 14 mwaka jana, alipojivua uanachama Chadema na kujiuzulu…
WALIOISHIA DARASA LA 7 NA WENYE VYETI FEKI HATIMA YAO KUJULIKANA MACHI MWAKA HUU
Hatma ya watumishi walioondolewa kazini na serikali kutokana na vyeti feki, itajulikana mwezi machi mwaka huu. kauli hiyo imekuja baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), kukutana na baadhi ya viongozi wa serikali, akiwemo Waziri wa Ofisi ya…
WAZIRI MKUU ASIMAMISHA UUZAJI WA MALI ZA KNCU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bibi Anna Mghwira asitishe uuzwaji wa mali za Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU). Ametoa agizo hilo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara…