JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Magufuli Ahudhuria Msiba wa Jaji Kisanga Oyster Bay

Rais John Magufuli akisaini kitabu wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Jaji Robert Kisanga leo jijini Dar es Salaam. …Akiongea katika msiba huo katika kuwapa pole wafiwa.  Kulia ni Mama Janeth Magufuli, mke wa rais. …Akiwa na viongozi mbalimbali waliofika katika…

JUMUIYA YA WAZAZI CCM WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mdolwa akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pamoja na mambo mengine kilitarajiwa kuchagua Wajumbe…

DK. SHEIN ATOA MSIMAMO KUHUSU MUDA WA KUKAA MADARAKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein amesema hayupo tayari kuongeza muda wa uongozi kutoka miaka mitano hadi saba kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Zanzibar. Dkt Shein amesisitiza kwamba, aliapa kuilinda katiba…

Tido Mhando Afikishwa Mahakamani

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), Tido Mhando (kushoto), amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC. Tido ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Azam…

Makonda Asema Wtaendelea kuwatibu wanaomtukana Rais Dkt Magufuli

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefunguka na kusema kuwa wao kama viongozi wanazidi kuimarisha huduma mbalimbali za afya ili watu ambao wanamtusi Rais Dkt John Pombe Magufuli wazidi kuwa na afya nzuri. Makonda amesema hayo leo…