JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

BALOZI ZA ISRAEL NA UJERUMANI ZA AHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

  23/1/2018 Balozi za Israel na Ujerumani hapa nchini zimeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ili kuhakikisha watanzania hasa watoto wanapata huduma bora za matibabu ya moyo. Hayo yamesemwa leo na Manaibu Balozi wa nchi hizo…

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe, Sylvester Mabumba (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Comoro, Bw. Said Mohamed Omar (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi wa…

POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, kinondoni, Jijini Dar es salaam imeandaa siku maalumu kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufanya mazoezi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2018. Shughuli hiyo itafanyika siku ya jumamosi January 27,2018 katika viwanja vya posta vilivyopo…

FAWOPA Yapiga Msasa Wadau wa Elimu-Mtwara

Shirika lisilokuwa la kiserikali la faidika wote pamoja FAWOPA limetoa Elim kwa Wadau Mbalimbali wa sekta hiyo Juu ya uandaaji wa Bajeti na kuweza kuwasilisha kwa kamati za Shule ili kuweza kuzifanyia kazi Kwa lengo La kuondokana na migongano inayojitokeza…

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

 Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo  Gari la Balozi wa China hapa nchini Tanzania…