Category: Siasa
Nabii Tito Apandishwa Mahakamani, Anyimwa Dhamana
Onesmo Machibya almaarufu Nabii Tito aliyetengeneza vichwa vya habari kutokana na mahubiri yake ya kuhimiza ulevi na uasherati, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, na kusomewa mashtaka ya kujaribu kujiua. Nabii Tito alifanya jaribio la kujiua Januari 25, mwaka…
Dk Tulia apokea msaada kwa watoto wenye uhitaji maalumu
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson,akipokea alama ya Tasisi ya Human Relief Foundation kutoka kwa Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery. NAIBU Spika Tulia Akson amepokea msaada wa vifaa mbalimbali…
Rais Shein Ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar…
BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania nchi Ubelgiji Mh:Edward Joseph Sokoine katikati akiwa na baadhi ya watanzania waliofika jana kwenye kikao cha kusikiliza na kutafutia ufumbuzi kero za watanzania wanaishi mbali na Tanzania. {Picha zote na Maganga One Blog} Kiongozi wa Watanzani kitongoji…
JAJI MKUU AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA IMANI YA MAHAKAMA
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akijiandaa kuanza Matembezi ya uzinduzi wa wiki ya Sheria leo jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto ni Waziri…
Magufuli Ahudhuria Msiba wa Jaji Kisanga Oyster Bay
Rais John Magufuli akisaini kitabu wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Jaji Robert Kisanga leo jijini Dar es Salaam. …Akiongea katika msiba huo katika kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Mama Janeth Magufuli, mke wa rais. …Akiwa na viongozi mbalimbali waliofika katika…