Category: Siasa
TCRA yafafanua Mtumizi ya Alama za Vidole Kwenye Usajili wa Laini
“Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa laini za simu alama za vidole zitatumika kuanzia Februari 5, 2018. Kwa mawasiliano zaidi tembelea maduka yetu,” ni ujumbe ambao watumiaji mbalimbali wa mitandao ya simu nchi wametumiwa kuanzia juzi kutoka katika mitandao…
Hawa Hapa Wanafunzi 10 Bora Na Wasichana 10 Bora Kitaifa, Kidato Cha Nne 2017
Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 2017 ambapo jumla ya watahiniwa 385,767 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2017 wakiwemo wasichana 198,036 (51.34%) na wavulana 187,731 (48.66%). Kati ya watahiniwa 385,767 waliosajiliwa,…
MENGI AIPA TWCC JENGO LAKE KUENDELEZA UJASIRIAMALI
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF Dr. Reginald Mengi akifurahi jambo na Mwakilishi wa TRA, Rose Mahendeke (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Chemba ya Wajasiriamali Wanawake nchini TWCC, Bi. Noreen Mawalla (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Chemba ya Wajasiriamali…
USITISHAJI MICHANGO MASHULE ‘WAITIKISA’ DODOMA
NA EDITHA MAJURA Dodoma Agizo la Rais John Magufuli kuzuia wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na Serikali wasitozwe michango, limeibua changamoto katika uendeshaji wa shule hizo mkoani hapa, imebainika. JAMHURI limebaini hayo baada ya…
JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA
Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…