Category: Siasa
USITISHAJI MICHANGO MASHULE ‘WAITIKISA’ DODOMA
NA EDITHA MAJURA Dodoma Agizo la Rais John Magufuli kuzuia wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na Serikali wasitozwe michango, limeibua changamoto katika uendeshaji wa shule hizo mkoani hapa, imebainika. JAMHURI limebaini hayo baada ya…
JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA
Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…
ANGELA MERKEL AANZA KUUNDA SERIKALI
NA MTANDAO Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema anakamilisha utaratibu wa kuangalia namna ya kuunda serikali ya mseto kwa kushirikiana na viongozi wa vyama vya Social Democratic na SPD. Amesema wanatarajia kwenda mbele katika jitihada zao za kuunda serikali na ndiyo…
TUNAHITAJI AMANI KWENYE KAMPENI
NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…
HUJUMA ZIEPUKWE KAMPENI ZA KINONDONI, SIHA
Moja ya kauli za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kutengua ushindi wake wa awali Agosti mwaka jana, aliwahimiza Wakenya kuwa wamoja. Rais Kenyatta akasema raia wa taifa hilo lililokabiliwa na machafuko ya baada ya…
MAWAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WA TANZANIA NA RWANDA WAKUTANA KUJADILI MRADI WA UJENZI WA RELI YA ISAKA- KIGALI
Waziri wa Fedha na Mipango ya Uchumi wa Rwanda Mhe. Gatete Claver akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika Ofisi ya Waziri wa Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano kuhusu upatikanaji wa Fedha za mradi wa…