JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MAZIKO YA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

Rais dkt. Magufuli leo ameshiriki maziko ya mwanasiasa mkongwe marehemu mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini dar es salaam Mazishi hayo pia yaliuzuriwa na Marais wastafufu, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete, pamoja na Viongozi wengine…

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachiwa huru mfanyabiashara Abdullah Hauga (73) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kupeperusha bendera ya Tanzania bila kibali. Hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Nolle Prosequi kuwasilisha chini ya kifungu cha…

MSIBA WA KINGUNGE WAWAKUTANISHA LOWASSA NA KIKWETE

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu wake kabla ya kujiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa wameungana na mamia ya waombolezaji na viongozi wengine wa nchi katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee…

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aapishwa Rasmi Bungeni

NAIBU Spika wa Bunge, Dkt.  Tulia Ackson amemwapisha Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi bungeni na kumkabidhia vitendea kazi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Tano cha Mkutano wa 11 wa Bunge, Mjini Dodoma, leo Feb 5, 2018….

MGOMBEA UDIWANI WA CHADEMA APOTEA KIMIUJIZA, MKOANI KAGERA

Kampeni za ubunge na udiwani zikiendelea, mgombea udiwani (Chadema) Kata ya Buhangaza wilayani Muleba amepotea katika mazingira ya kutatanisha. Imeelezwa alipotea februari 2, 2018 alipokuwa akitokea Bukoba Mjini kwenda nyumbani kwake Kijiji cha Buhangaza ikidaiwa ametekwa. Kaimu Kamanda wa Polisi…