JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Joshua Nassari Apandishwa Kortini kwa Kumpiga Diwani

Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Joshua Nassari leo Februari 6, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kusomewa shitaka linalomkabili. Katika kesi hiyo, Nassari anakabiliwa na tuhuma za kumshambulia na kumsababishia maumivu kwa aliyekuwa Mtendaji wa…

Mahakama Yaagiza Nabii Titto Apime Upya Akili

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe Isanga mkoani Dodoma ili kuriridhisha kama ana matatizo ya akili….

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU WA UMOJA WA ULAYA (EU)

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema jana alitembeleawa na Maofisa watatu kutoka Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza naye juu ya masuala mbali mbali yanayoihusu…

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA UTAFITI WA MAPATO,MATUMIZI KWA KILA KAYA GEITA

Mkuu wa mkoa Geita ,mhandisi Robert Luhumbi kushoto akiwa na Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Douglas Masanja akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafisi Tanzania Bara wa mwaka 2017/18.  Katibu…

MANGE KIMAMBI AMCHEFUA SHEKHE MKUU WA DAR ES SALAAM, SASA KUKIONA CHA MOTO

SHEHE  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa amemuonya mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi kwa madai kuwa amemporomoshea matusi mazito baada ya kumuona mtandaoni amepiga picha na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi…