JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

JAJI MKUU : MAHAKIMU SIMAMIENI MABARAZA YA KATA

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Nzega alipowasili kukagua shughuli za Mahakama. Jaji Mkuu ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora na Kigoma ambayo ni Kanda ya Tabora Jajki…

Serikali ichunguze e-passport

Wiki mbili zilizopita tumechapisha habari za uchunguzi juu ya mradi wa e-passport. Tumeeleza katika habari hizo kuwa kuna ufisadi unaokadriwa kufikia Sh bilioni 90, fedha ambazo waliokabidhiwa jukumu la kutafuta mzabuni kama wangetenda kwa masilahi ya taifa basi zingeokolewa. Katika…

CCM yashinda Siha, Kinondoni “Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia”

*Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi, katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni, wameibuka washindi. Jimbo la Siha, Dk.Godwin Mollel ametangazwa mshindi, huku Kinondoni akitangazwa…

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ILEMELA NA NYAMAGANA. MKOANI MWANZA

 Baadhi ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza  Sehemu ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim…

DAWASA NA DAWASCO ZATAKIWA KUPELEKA HUDUMA ZA MAJI PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso (wa pili toka kulia) akiwa na katibu tawala wa Wilaya ya Temeke, Edward Mpogolo wakati wakipatiwa maelezo machache juu ya uharibifu wa miundo mbinu ya maji inayofanywa na wananchi wasio waaminifu wakati wa…

UCHUNGUZI WAANZA KUBAINI WALIOMUUA KWA RISASI MWANAFUNZI CHUO CHA USAFIRISHAJI

*Wizara ya Mambo ya Ndani yaelezea kinachoendelea *Rais Magufuli aagiza waliohusika wachukuliwe hatua    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imewahakikishia Watanzania kuwa uchunguzi wa kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji Aqwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa…