Category: Siasa
DONALD TRUMP: WALIMU WARUSIWE KWENDA NA BUNDUKI MASHULENI
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida. ”Mwalimu mwenye bunduki anaweza kukabiliana na washambuliaji mara moja”, alisema. Bwana Trump alitoa pendekezo…
TCD: TUNATAKA KUMWONA RAIS MAGUFULI ATUSAIDIE KUPATA KATIBA MPYA
Kongamano la viongozi wa siasa na viongozi wa dini lilikoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD), limemalizika leo jijini Dar es salaam, huku wajumbe wakipanga kwenda kumwona Rais John Magufuli wakiwa na pendekezo la kukamilishwa kwa mchakato wa Katiba. Akisoma mapendekezo…
JAJI MKUU : MAHAKIMU SIMAMIENI MABARAZA YA KATA
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Nzega alipowasili kukagua shughuli za Mahakama. Jaji Mkuu ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora na Kigoma ambayo ni Kanda ya Tabora Jajki…
Serikali ichunguze e-passport
Wiki mbili zilizopita tumechapisha habari za uchunguzi juu ya mradi wa e-passport. Tumeeleza katika habari hizo kuwa kuna ufisadi unaokadriwa kufikia Sh bilioni 90, fedha ambazo waliokabidhiwa jukumu la kutafuta mzabuni kama wangetenda kwa masilahi ya taifa basi zingeokolewa. Katika…
CCM yashinda Siha, Kinondoni “Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia”
*Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi, katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni, wameibuka washindi. Jimbo la Siha, Dk.Godwin Mollel ametangazwa mshindi, huku Kinondoni akitangazwa…
ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ILEMELA NA NYAMAGANA. MKOANI MWANZA
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Sehemu ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim…