JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Hivi ndivyo Akwilina Akwilin Alivyopumzishwa Kwenye Nyumba Yake ya Milele

                                   

ZITTO KABWE AENDELEA KUSOTA RUMANDE, KWA TUHUMA ZA KUFANYA MKUTANO BILA KIBALI

Kiongozi Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro baada ya kukosa dhamana. Kiongozi huyo anashikiliwa tangu jana alipokamatwa kwa kufanya mkusanyiko bila kibali. Zitto alikamatwa katika Kata ya Kikeo iliyopo wilayani Mvomero na…

Serikali ya Nigeria yaomba radhi utekwaji wasichana

Kumekuwa na ongezeko la hali ya hasira kwa wazazi wa wasichana wanaodaiwa kutekwa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram ambao siku ya jumatatu wamevamia shule moja ya wasichana katika mji wa Daptch nchini humo. Wazazi wa wanafunzi hao waliokuwa…

DIWANI WA CHADEMA AUWAWA KWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA MOROGORO

Diwani wa CHADEMA, Godfrey Lwena ameuawa usiku wa Alhamisi nyumbani kwake. Kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei amethibitisha kuuawa kwa diwani huyo wa Kata ya Namwawala, Jimbo la Mlimba. Hata hivyo kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Matei…

Ajali ya Malori Yajeruhi Mwandishi wa Gazeti la Uhuru

Mwandishi wa habari wa Gazeti la Uhuru, Mariam Mziwanda, amejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Tabata TOT jijini Dar es Salaam, usiku huu baada ya gari dogo alilokuwa akiliendesha lenye namba za usajili T222 DJX kugongana na lori…

NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AFANYA ZIARA WILAYA YA SHINYANGA KUKAGUA HUDUMA ZA AFYA

    Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amepiga marufuku dawa za serikali kuonekana zikiuzwa kwenye maduka ya watu binafsi kwani serikali haitaki kuingia kwenye matatizo ya uhaba wa dawa kwenye sehemu…